Ufafanuzi wa mahuluti katika Kiswahili

mahuluti

kivumishi

  • 1

    mchanganyiko wa vitu tofauti au watu wenye mawazo tofauti.

    ‘Serikali mahuluti serikali iliyoundwa kwa chama zaidi ya kimoja vyenye mawazo na misimamo tofauti’

Matamshi

mahuluti

/mahuluti/