Ufafanuzi wa majadi katika Kiswahili

majadi

nominoPlural majadi

  • 1

    hali ya kupenda sana kuwa na kitu; utamanaji wa kitu wa hali ya juu.

Matamshi

majadi

/maʄadi/