Ufafanuzi wa majaribu katika Kiswahili

majaribu

nominoPlural majaribu

  • 1

    fikira zinazomshawishi mtu kutenda kinyume na mafundisho ya dini au maadili; vishawishi.

  • 2

    mambo mabaya yanayomtokea mtu ambayo husadikiwa kuwa ni kipimo cha imani kwa Mwenyezi Mungu.

Asili

Kar

Matamshi

majaribu

/maʄaribu/