Ufafanuzi wa majazi katika Kiswahili

majazi

nominoPlural majazi

  • 1

    baraka za Mwenyezi Mungu.

  • 2

    upaji wa majina kulingana na tabia ya mhusika, mathalani katika fasihi, jina ‘Majivuno' hupewa mtu anayejidai.

Matamshi

majazi

/maʄazi/