Ufafanuzi wa majeruhi katika Kiswahili

majeruhi

nomino

  • 1

    mtu au watu walioumia au kujeruhiwa.

Asili

Kar

Matamshi

majeruhi

/maʄɛruhi/