Ufafanuzi wa majilio katika Kiswahili

majilio

nominoPlural majilio

  • 1

    Kidini
    kipindi cha majuma manne kabla ya maadhimisho ya kuzaliwa Kristo.

  • 2

    kuja au kutokea kwa mara ya kwanza kwa jambo au kitu fulani.

Matamshi

majilio

/maʄilijɔ/