Ufafanuzi wa majimoto katika Kiswahili

majimoto

nominoPlural majimoto

  • 1

    mdudu mwekundu jamii ya siafu, anayejenga na wenzake nyumba zao katika miti na huuma sana.

    koyokoyo

Matamshi

majimoto

/maʄimɔtɔ/