Ufafanuzi wa majuni katika Kiswahili

majuni

nominoPlural majuni

  • 1

    kasumba iliyotiwa sukari na vitu vingine ambayo hutumika kuwa ni kileo.

    afyuni, dawa, kasumba

  • 2

    dawa.

Asili

Kar

Matamshi

majuni

/maʄuni/