Ufafanuzi wa majuto katika Kiswahili

majuto

nominoPlural majuto

  • 1

    huzuni inayosababishwa na kosa lililotokea.

    nadama, sikitiko

Matamshi

majuto

/maʄutɔ/