Ufafanuzi wa makamo katika Kiswahili

makamo

nomino

  • 1

    miaka aliyokwishaishi mtu.

    umri

  • 2

    umri baina ya ujana na uzee.