Ufafanuzi wa makamu katika Kiswahili

makamu

nominoPlural makamu

  • 1

    mtu wa pili kwa cheo ambaye hushika kazi ya mkuu asipokuwepo.

    ‘Makamu wa Rais’
    ‘Makamu wa Mkuu wa Chuo’

Matamshi

makamu

/makamu/