Ufafanuzi wa makao katika Kiswahili

makao

nomino

  • 1

    mahali pa kukaa au kuishi.

    makazi, hashuo, maskani, auta, kitende

  • 2

    mahali pa kuendeshea shughuli.