Ufafanuzi wa makomba katika Kiswahili

makomba

nominoPlural makomba

  • 1

    uji wa mtama unaopikwa siku moja kabla ya kutiwa kimea ili uwe pombe.

Matamshi

makomba

/makɔmba/