Ufafanuzi wa makombo katika Kiswahili

makombo

nominoPlural makombo

  • 1

    chakula kilichosazwa baada ya mtu kula.

  • 2

    kitu chochote kilichokwisha kutumiwa na kubakishwa.

    masazo

Matamshi

makombo

/makɔmbɔ/