Ufafanuzi wa makwenu katika Kiswahili

makwenu

nomino

  • 1

    mahali mnapoishi; nyumbani mwenu.

Matamshi

makwenu

/makwɛnu/