Ufafanuzi wa maleti katika Kiswahili

maleti

nomino

  • 1

    nyundo kubwa ya mbao inayotumiwa na mafundi seremala.

    pondea

Asili

Kng

Matamshi

maleti

/malɛti/