Ufafanuzi wa malishoni katika Kiswahili

malishoni

nomino

  • 1

    mahali wanapopelekwa wanyama ili kula.

    machungani

  • 2

    mahali pa kuwalishia wanyama.

Matamshi

malishoni

/mali∫ɔni/