Ufafanuzi wa maluuni katika Kiswahili

maluuni

nominoPlural maluuni

  • 1

    mtu aliyelaaniwa afanyaye mambo kinyume cha kaida za jamii anamoishi.

Matamshi

maluuni

/malu:ni/