Ufafanuzi wa mamboleo katika Kiswahili

mamboleo

kivumishi

  • 1

    -enye mbinu mpya.

  • 2

    -a kisasa.

    ‘Ukoloni mamboleo’
    asiria

Matamshi

mamboleo

/mambɔlɛɔ/