kitenzi sielekezi~lia, ~lika, ~lisha
- 1
lia kwa kwikwi.
- 2
rukia au ingia katika jambo au maneno kwa nguvu.
nominoPlural mamia
- 1
idadi ya vitu miamia katika hesabu.
lia kwa kwikwi.
rukia au ingia katika jambo au maneno kwa nguvu.
idadi ya vitu miamia katika hesabu.