Ufafanuzi wa mandharinyuma katika Kiswahili

mandharinyuma

nominoPlural mandharinyuma

  • 1

    sehemu nyuma ya mahali pa kutazamia wachezaji, n.k..

  • 2

    mwonekano wa sehemu ya nyuma ya kitu kilichopigwa picha au kuchorwa.

Matamshi

mandharinyuma

/manðariɲuma/