Ufafanuzi wa mando katika Kiswahili

mando

nominoPlural mando

  • 1

    sehemu ngumu iliyo nyekundu kama nyama mbichi kwenye matako ya nyani; kundu.

    ngoko

Matamshi

mando

/mandɔ/