Ufafanuzi wa manii katika Kiswahili

manii

nominoPlural manii

  • 1

    mbegu za uzazi zitokazo kwa mwanaume au mnyama dume kupitia uume.

    shahawa

Asili

Kar

Matamshi

manii

/mani:/