Ufafanuzi wa manukuu katika Kiswahili

manukuu

nominoPlural manukuu

  • 1

    maandishi ya hati fulani yaliyobadilishwa kutoka hati nyingine k.m. kubadili hati za Kiarabu kuwa za Kilatini.

Asili

Kar

Matamshi

manukuu

/manuku:/