Ufafanuzi wa manya katika Kiswahili

manya

kitenzi elekezi

  • 1

    elewa, fahamu.

Matamshi

manya

/maɲa/