Ufafanuzi wa maponyo katika Kiswahili

maponyo

nominoPlural maponyo

  • 1

    mambo au kitu kinachotumiwa kuponya ugonjwa.

    dawa

Matamshi

maponyo

/mapɔɲɔ/