Ufafanuzi msingi wa mara katika Kiswahili

: mara1mara2mara3

mara1

nominoPlural mara

 • 1

  kurudia kwa jambo lilelile au kwa idadi.

  ‘Mbili mara mbili ni nne’
  ‘Hii ni mara ya pili jambo hili kutokea’
  ‘Mara kwa mara’

Matamshi

mara

/mara/

Ufafanuzi msingi wa mara katika Kiswahili

: mara1mara2mara3

mara2

kielezi

 • 1

  kwa kurudiarudia baada ya kitambo kidogo.

  fi

Asili

Kar

Matamshi

mara

/mara/

Ufafanuzi msingi wa mara katika Kiswahili

: mara1mara2mara3

mara3

kielezi

 • 1

  kutokea upesi bila ya kukawia kwa tendo fulani.

  ‘Hapo hapo nipigie simu mara upatapo barua hii’

Asili

Kar

Matamshi

mara

/mara/