Ufafanuzi wa marara katika Kiswahili

marara

kivumishi

  • 1

    -enye madoadoa mwili mzima.

    ‘Simba marara’

Matamshi

marara

/marara/