Ufafanuzi wa maridhawa katika Kiswahili

maridhawa

kivumishi

  • 1

    -a kuridhisha, -a kutosheleza.

Asili

Kar

Matamshi

maridhawa

/mariðawa/