Ufafanuzi wa marudi katika Kiswahili

marudi

nominoPlural marudi

  • 1

    maelezo ya kumtahadharisha mtu asifanye jambo litakaloweza kumletea madhara baadaye.

  • 2

    adhabu, ikabu, rada

Matamshi

marudi

/marudi/