Ufafanuzi wa masimbulio katika Kiswahili

masimbulio

nominoPlural masimbulio

  • 1

    maneno au mambo ya kudhalilisha.

    masuto

Matamshi

masimbulio

/masimbulijɔ/