Ufafanuzi wa masimulizi katika Kiswahili

masimulizi, usimulizi

nomino

  • 1

    utambaji au maelezo ya jambo fulani.

    hadithi