Ufafanuzi wa masurufu katika Kiswahili

masurufu

nominoPlural masurufu

  • 1

    fedha za matumizi ya safarini.

    posho

  • 2

    chakula au matumizi ya njiani mtu anapokuwa safarini.

Asili

Kar

Matamshi

masurufu

/masurufu/