Ufafanuzi wa matanga katika Kiswahili

matanga

nomino

  • 1

    mkusanyiko wa watu kwenye nyumba yenye msiba ili kuomboleza na kuwaliwaza wafiwa kwa siku tatu au zaidi baada ya kuzika.

Matamshi

matanga

/matanga/