Ufafanuzi wa matanguo katika Kiswahili

matanguo, matanguko

nomino

  • 1

    tendo la kuvunja, kufuta, kuondoa au kubatilisha amri, sheria au ndoa.

Matamshi

matanguo

/matanguw…Ē/