Ufafanuzi wa matatu katika Kiswahili

matatu

nominoPlural matatu

  • 1

    basi dogo linalobeba abiria mijini nchini Kenya, hasa kwa safari fupifupi.

    daladala

Matamshi

matatu

/matatu/