Ufafanuzi wa matayarisho katika Kiswahili

matayarisho

nominoPlural matayarisho

  • 1

    shughuli zinazofanyika katika kuandaa jambo fulani.

Matamshi

matayarisho

/matayari∫ɔ/