Ufafanuzi wa matembezi katika Kiswahili

matembezi

nominoPlural matembezi

  • 1

    tendo la kutembea kwa kujifurahisha.

    ‘Enda matembezi’

  • 2

    utokaji wa mtu kutoka mahali pa maskani ya kawaida na kwenda sehemu nyingine kwa hamu tu ya kutembea.

Matamshi

matembezi

/matɛmbɛzi/