Ufafanuzi wa materesi katika Kiswahili

materesi

nominoPlural materesi

  • 1

    nakshi katika gubeti, usukani au mashikio kwenye mtepe.

Matamshi

materesi

/matɛrɛsi/