Ufafanuzi wa matukulele katika Kiswahili

matukulele

nomino

  • 1

    hali ya kukosa utulivu na umakini katika jambo fulani.

Matamshi

matukulele

/matukulɛlɛ/