Ufafanuzi wa mauguzi katika Kiswahili

mauguzi

nomino

  • 1

    matendo ya kutibu na kuhudumia mgonjwa.

  • 2

    namna mgonjwa anavyouchukua ugonjwa wake.

    uuguaji

Matamshi

mauguzi

/mawuguzi/