Ufafanuzi wa mavichuma katika Kiswahili

mavichuma

nominoPlural mavichuma

  • 1

    uchafu na takataka za chuma, pamoja na mapande ya kutu.

Matamshi

mavichuma

/mavit∫uma/