Ufafanuzi wa mba katika Kiswahili

mba

nominoPlural mba

  • 1

    ugonjwa wa ngozi ambao huwasha na kuacha mabaka mwilini.

  • 2

    vipande vya ngozi vidogovidogo visivyo hai vinavyobanduka, agh. kichwani.

    uyabisi

Matamshi

mba

/m mba/