Ufafanuzi msingi wa mbalamwezi katika Kiswahili

: mbalamwezi1mbalamwezi2

mbalamwezi1 , mbaamwezi

nominoPlural mbalamwezi

  • 1

    nuru au mwangaza wa mwezi.

Matamshi

mbalamwezi

/mbalamwɛzi/

Ufafanuzi msingi wa mbalamwezi katika Kiswahili

: mbalamwezi1mbalamwezi2

mbalamwezi2

nominoPlural mbalamwezi

  • 1

    mnyama mdogo mweupe jamii ya chaza anayeishi baharini.

Matamshi

mbalamwezi

/mbalamwɛzi/