Ufafanuzi wa mbambakofi katika Kiswahili

mbambakofi

nominoPlural mibambakofi

  • 1

    mti uzaao matunda yenye mwili mwekundu na kichwa cheusi na hutoa mbao za rangi nyekundu nzuri za kutengenezea k.v. meza au milango.

Matamshi

mbambakofi

/m bambakɔfi/