Ufafanuzi wa mbarawaji katika Kiswahili

mbarawaji

nomino

  • 1

    joho lililotengenezwa kwa kitambaa cha hariri chenye rangi ya dhahabu.

Matamshi

mbarawaji

/m barawaŹ„i/