Ufafanuzi wa mbono katika Kiswahili

mbono

nomino

  • 1

    mmea uzaao mbarika.

  • 2

    mbegu zinazotokana na mmea huo.

    mbarika, nyonyo

Matamshi

mbono

/m bɔnɔ/