Ufafanuzi wa mbuji katika Kiswahili

mbuji

nomino

  • 1

    mtu mwenye uhodari wa jambo fulani.

    ‘Fulani ni mbuji wa kusema’

Matamshi

mbuji

/m buʄi/