Ufafanuzi wa mbukwa katika Kiswahili

mbukwa

nominoPlural mbukwa

  • 1

    tamko linalotolewa katika shughuli za jando kwa maana ya maamkizi.

  • 2

    tamko linalotumiwa na mtu aliyefanya makosa ili kutaka msamaha.

Matamshi

mbukwa

/mbukwa/