Ufafanuzi wa mbunifu katika Kiswahili

mbunifu

nominoPlural wabunifu

  • 1

    mtu mwenye uwezo wa kubuni mambo k.v. hadithi.

Matamshi

mbunifu

/m bunifu/